UE za UDOM bwana!! Haya bwana!!

UE za UDOM bwana!! Haya bwana!!

Ukitaka kujua kuwa walimu wengi wa UDOM ni feki angalia kuna mitihani ya UE imebidi ihairishwe baada ya principal wa college ya .... kuishitukia iko chini ya kiwango mno, akaamua kuitisha daftari la CR wa darasa ili aone topic walizofundishwa darasani ni zipi. Lakini huo mtihani ulishapitishwa kwenye seneti, sasa jiulize hiyo seneti walikaa mambulumundu wa type gani?

Hapo ndipo nimegundua uwezo wako ni mdogo zaidi hata ya kiasi wachangiaji wanavyofikiri kuwa ni mdogo. Hujui hata mifumo ya uandaaji mitihani....wapi umewahi kusikia unayoiita seneti inakaa na kupitisha mitihani?....hatari aisee
 
Kaka mleta mada kaombe ukurasa kwenye magazeti ya Erick Shigongo uwe unachangia hoja kule maana unafaa sana aise.
 
Back
Top Bottom