UEFA 2017/2018 kutawaliwa na timu za uingereza,uholanzi na ufaransa!!

Ndoto hiyo....Ni nani kati ya hao ataweza kukatiza mbele ya Bayern,madrid,Barca na Juventus?
Pre session match in nothing....
 
Usajili ni kitu kimoja halafu kuna ufundi wa kusuka kikosi cha ushindi upo hapo?
Halafu mpira siyo usajili tu kila klabu ina falsafa zake wengine priority yao ni kujitengenezea vipaji na kuvitumia na wanashinda sana zaidi hata hawa wanaotumia mpunga mwingi kwa usajili.
 
Ila kumbuka Spain ndo mababa wa Hiki kikombe nashangaa unawatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu za England zitagangamana lkn mwisho wa siku sioni kama zitafika popote kwenye Uefa pamoja na kutumia hayo mahela yote.

Naziona Real Madrid, Barcelona, PSG na Bayern wakizodoana macho kung'ang'ania kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…