UEFA 2025/26: Chelsea kuvaana na Barca, Bayern, Napoli! Arsenal kukutana na Bayern, Inter. Spurs yapewa PSG, Dortmund

UEFA 2025/26: Chelsea kuvaana na Barca, Bayern, Napoli! Arsenal kukutana na Bayern, Inter. Spurs yapewa PSG, Dortmund

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Ligi ya Mabingwa Ulaya ya msimu wa 2025–26 imekuwa ikiendelea kimyakimya tangu mwanzo wa Julai, wakati raundi ya kwanza ya mechi za mchujo ilipoanza.

Jumla ya timu 53 zimehusika katika mchakato huu, 42 kati yao kupitia Njia ya Mabingwa na timu 11 kupitia Njia ya Ligi zikiwa zinawania nafasi saba tu za kufuzu kwa hatua ya ligi ya Ligi ya Mabingwa.

Baada ya mechi za Jumatano usiku kukamilika ambazo Benfica, Qarabağ na Club Brugge walitoka kifua mbele, sasa tunawafahamu timu 36 zitakazoshiriki na kujaribu kufuata nyayo za ushindi wa kihistoria wa Paris Saint-Germain, walioupata kwa ushindi mnono wa mabao 5–0 dhidi ya Inter Milan huko Munich mwezi Mei.

Kinachosubiriwa kwa sasa ni majibu ya droo ya upangaji wa hatua ya ligi inayoendelea muda huh, kukamilika.

Screenshot 2025-08-28 at 19.52.48.png
Screenshot 2025-08-28 at 19.53.01.png


Matokeo ya Droo hiyo ni kama yanavyoonekana hapo chini ambapo ratiba kamili ya tarehe na muda itatangazwa siku ya Jumamosi lakini kwa sasa kila timu inajua inaenda kukutana na timu gani katika msimu huu mpya.

IMG_6755.JPG
IMG_6756.JPG


JPEG image-48AF-BB2E-5A-0.jpeg
IMG_BCC9620E281E-1.jpeg
 
Back
Top Bottom