Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Huku ni kuvuta bangi sasa.Utabiri wangu ni yoyote anaweza kua bingwa [emoji1783]
Hahahaha mkuu kumbuka Chelsea siku za karibun city kashindwa mfunga.Mwanzo mpira utaanza taratibu kwa timu zote kusomana, then naiona Chelsea ikipaki sana basi hivyo Man City watamiliki mpira muda mwingi wa mchezo, as soon as Man City wakipata goli la mapema ndio Chelsea watafunguka nao kwenda kushambulia hivyo kuacha gaps kwenye defence yao, mwisho wa siku Man City wataibuka na ushindi mnono wa magoli zaidi ya mawili.
Mkuu au kwa sababu city kakupokenya kombe?Nikiwa kama mdau wa Liverpool. Naamini Chelsea atabeba ndoo
Au sio mkuu, ingekua bongo kamati za ufundi zingekua zishafika ureno.Mpira dakika tisini mengne tutayaona siku husika
Hahahaha bongo hatuna utaratibu wa mpira sisi ni kulogona watu wanafika uwanjani badala ya kushuhudia burudani wanaanza kuhisi wamepoteza muda wao kwenda uwanjanAu sio mkuu, ingekua bongo kamati za ufundi zingekua zishafika ureno.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hahahaha bongo hatuna utaratibu wa mpira sisi ni kulogona watu wanafika uwanjani badala ya kushuhudia burudani wanaanza kuhisi wamepoteza muda wao kwenda uwanjan
Licha ya hivyo ... Chelsea nawakubali kiasi fulaniMkuu au kwa sababu city kakupokenya kombe?
Nikiwa kama mdau wa hizo timu zote, nasimama na weweNikiwa kama mdau wa Liverpool. Naamini Chelsea atabeba ndoo
Mkuu lakini matokeo ya Chelsea hivi karibuni kwenye league yalikuwa na ukakasi kidogo...Nikiwa kama mdau wa hizo timu zote, nasimama na wewe
EPL na UCL maji na mafutaMkuu lakini matokeo ya Chelsea hivi karibuni kwenye league yalikuwa na ukakasi kidogo...
Nakubali mkuuEPL na UCL maji na mafuta
He is every where...Jana city 5-0 everton
Villa 2-1 chelsea
Twote walkua na vikosi vya maangamizi yaani ile first eleven ya uhakika City watakua na possession kubwaa ila ze bluuz watakua na Tactics nyingi mwisho wa siku watachukua ndoo[emoji91] kama namuona kante atavyoupiga mwingi pale kati