UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Kante sijui ana anaendeleaje kwani mechi ya Leicester aliumia na kutolea kipindi cha kwanza na jana hakuwepo zidi ya Aston Villa.

Kama Kante hatokuwepo Jumamosi basi city watakuwa na kazi nyepesi ya kubeba ndoo.
 
What Thomas Tuchel said on N'Golo Kante

“With N’Golo nothing has changed. I think about changing my tactics and just put him in training and put him on the pitch when the game starts on Saturday and maybe I will not speak to the doctors and physios so I hear no more doubts.

“It looks good and I hope it stays like that.”

Source: absolute chelsea news.
 
Jana city 5-0 everton
Villa 2-1 chelsea
Twote walkua na vikosi vya maangamizi yaani ile first eleven ya uhakika City watakua na possession kubwaa ila ze bluuz watakua na Tactics nyingi mwisho wa siku watachukua ndoo[emoji91] kama namuona kante atavyoupiga mwingi pale kati
Hizo tactics mbona wasizifanye jana kwa Aston Villa?!
 
Kante sijui ana anaendeleaje kwani mechi ya Leicester aliumia na kutolea kipindi cha kwanza na jana hakuwepo zidi ya Aston Villa.

Kama Kante hatokuwepo Jumamosi basi city watakuwa na kazi nyepesi ya kubeba ndoo.
Kante hawezi kuwazuia Man City, hivi unaamini vipi timu nzima inaweza kuzuiwa na mtu mmoja, tena timu yenyewe iliyojaa mafundi kama Man City? nyie watu mna utani sana.
 
What Thomas Tuchel said on N'Golo Kante

“With N’Golo nothing has changed. I think about changing my tactics and just put him in training and put him on the pitch when the game starts on Saturday and maybe I will not speak to the doctors and physios so I hear no more doubts.

“It looks good and I hope it stays like that.”

Source: absolute chelsea news.
Kumbe Ngolo Kante ndio mungu wenu, mnaamini akiwepo yeye hamfungwi!!
 
Mkuu mechi zinatofautiana, so huwezi tumia tacics zilezile.
Ohooo nyie jichanganyeni tu mchanganyikiwe, najua kwa Cityzens lazima mpaki basi, hamna ubavu wa kufunguka, na huyo Kante wenu atalemewa pale kati mtamtafuta hamtamuona ndio mtajua Guardiola ni nani.
 
Hahahah mkuu, peaple lie but numbers don't lie....
Screenshot_20210524-191513.jpg
 
Kante hawezi kuwazuia Man City, hivi unaamini vipi timu nzima inaweza kuzuiwa na mtu mmoja, tena timu yenyewe iliyojaa mafundi kama Man City? nyie watu mna utani sana.
Sijasema Kante peke yake anaweza kuwazuia,ila uwezo wa Kante una mchango mkubwa kwenye mafanikio ya Chelsea msimu huu labda kama unataka kubishana.

Mwezi uliopita ndani ya wiki moja Man City ilifungwa mara mbili (EPL na nusu fainali ya FA) na sababu kubwa ilikuwa Kante,ndani ya mwezi huu wa Madrid kabanwa kwake na kapigwa darajani sababu kubwa ni huyo huyo Kante.

Kante machine nyingine kabisa anaweza kuharibu upepo wa Man City na kama mfuatiliaji mzuri wa EPL ktk half ya pili ya EPL ukitaja wachezaji watatu walio perform huwezi kuacha kumtaja Kante.

So Kante hasipokiwepo ushindi wa Man City utakuwa mwepesi sana.
 
Madrid wale wazee hawawezi tena kukimbia, the likes of Modric and Toni Kroos plus Marcelo na Ramos kujisifu mmewatoa wale nawashangaa sana, kama msingewatoa ndio ningewashangaa zaidi.

Hizo game ulizosema Chelsea alimfunga City Guardiola hakupanga kikosi cha maangamizi, ngojeni jumamosi ndio mtaiona City ya maangamizi na aina ya mpira watakaocheza, hamtapewa nafasi ya kupiga hata pasi tano, wakipoteza mpira wanakaba kama nyuki mtauachia mpira bila kupenda.

Nataka huyo Kante awepo halafu muone kama atafurukuta, City wanacheza kama machine, hawamtegemei mtu mmoja wale.
 
Hahahah mkuu, peaple lie but numbers don't lie....View attachment 1796515
Numbers what my friend, in life we deal with the present and future, and saturday will be one of those days, namuombea Kante wenu apone haraka tena vizuri kabisa ili msije na kisingizio kingine

Nawaona mnaleta utani kwenye mambo ya msingi, muulizeni Ferguson awaambie nini kilimkuta pale Wembley mbele ya Guardiola.

Ile Chelsea ukimzuia Havertz na Mason Mount kwisha kazi, yule Werner hata akipewa assist na beki wa Man City hafungi, atapiga nje au ampe kipa, wakati City wana mashine za hatari nashindwa hata kuziandika hapa mkono unatetemeka.
 
Habari za kulijenga taifa wakuu natumai mko salama katika harakati za kulijenga taifa letu.

Kwa wapenzi wa soka tarehe 29 mei, nafikir itakwenda kua siku ya kipekee kabisa kwa kushuhudia mtanange wa UCl pale ureno.

Mambo nayoyaona kuhusu mechi hii
1:Mechi itakuwa ngumu na verry tactical.
2: mechi itaamuliwa na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.

Kwa upande wangu nawapa nafasi kubwa the citizens (51%) kwa (49%) kwa the blues.

Nini maoni yako na mtazamo wako?

View attachment 1796204
Man city anabeba ndoo mapema sana!
 
Back
Top Bottom