UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Chelsea wanatala walinde heshima yao kwani hata kabla ya kufika hapo ilipo ni juhdi za wachezaji na pechi la ufundi
Hata pep anasaka ushindi kwa tuchel maana kampiga game mbili walizokutana
 
Na leo inatakiwa tuchel akamshangaze pep
[emoji1] [emoji1]
IMG_20210509_095151.jpg
 
Me ni fans mkubwa saana wa chelsea ...chelsea anaaminika hana kikosi cha kumzuia city bt trust me leo chelsea atanyanyua ndoo... si kwaxabab ni bora zaid ya city hapana ila bahati itakuwa upande wetu.
#Hutaki auView attachment 1801091
[emoji1] [emoji1] Dunian hamnaga luck.. Akibeba #Chelsea hizo ni juhudi zake
Luck ni neno la kujifariji.
 
Je Chelsea wanao uwezo wa kuwashambulia Man City na kuwa mabingwa wapya wa UEFA Champions League Kwa Mara nyingine baada ile ya De Matteo?

Sitakki kuwa mtabiri Kwa sababu Manchester United wamenifuza kitu katika Europer.

Kila la kheri Manchester City...Kila la kheri Chelsea.

IMG-20210529-WA0017.jpg
View attachment 1801113
 
Back
Top Bottom