UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

1464463079847.jpg
 
Madrid bado wametawala huu mchezo lakini unaweza kubadilika dakika 15 za mwisho na Athletico wakashambulia.
 
Wapi El cholo.....!!

Uhuni wote umehamia kiunoni, mkono haubanduki kwenye mkanda wa suruali yake.. haamini anachokiona, timu inacheza hovyo sana leo!!

BACK TANGANYIKA
 
Hahahahaaaaaa., duh utakuwa ni bonge la uhuni, kuonesha mechi ya mwaka juzi
Hahahaaa

Uje azam huwa awana kawaida kama hyo ya EUFA , ila ina ezekana

Kwa sabab wanao chek azam now, wengi awajui ata mpira ni nn
 
Back
Top Bottom