UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

hakika wanastahili kwani kwa mchezo n wazi real madrid walijiandaa,inaonekana dhahili atletico wamekata tamaa mapema
 
Huu mpira utanoga kipindi hiki cha pili.
 
Hapana mkuu, huu mtindo ndio unapendwa sana siku hizi na timu nyingi zenye kuhofia timu pinzani ambazo hucheza kwa kasi kama Athletico Madrid, hutumia mbinu hiyo.

Lakini sio kupaki basi, mbinu ambayo mnajipanga na mnaishia katikati ya uwanja.
Ndio kupaki bus kwenyewe uko,mtindo wa Mourinho
 
Kwa Ile movie km angefunga Ronado ndoingeesabika ofside ,ikosawa tu
 
Nimeamini msemo wa "Timu kubwa ubebwa" goli la R. Madrid la uoteaji wa wazi.


Kubali Tu yaishe, mabeki wawili wanamvuta shati Ramos badala ya kucheza na ball. Lini mtaacha kulialia?
 
Mabadiliko

Diego Simone amefanya mabadiliko.

Carrasco ameingia badala ya Augusto Fernandez--penaaalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…