UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Wapigaji Penalties

Athletico Madrid- Kipa Oblak, Carrasco, Pepe,Gabi, Koke, Griezmann

Real Madirid - Kipa Keylor Navas, Ronaldo, Gareth Bale, Sergio Ramos, Vasquez,
 
Sema wewe
Juzi alipata majeraha, lakin zidane akasema ata cheza hvo hvo, kwa kuwa si ttzo kubwa

Fuatilia kwanza habar za madrid ndo uje unibishie

Sja bisha kama leo hajacheza frsh natoa moja ya sabab kwann hajacheza hvo
 
Messi :We don't want RMD to win any thing.... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ronaldooooooooooooooo

Real Madrid 5 Athletico Madrid 3

Real Madrid are Champions
 
Inasikitisha kuona kwamba Real Madrid pamoja na kutocheza sana lakini wanakuja kushinda kwa matuta tu!

Athletico Madrid hawakustahili hili, wamecheza kwa bidii sana.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…