HahahaaAcha tu wachukue maana ata hao ATM wenyewe hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania so ainiumi ata kidogo nyambafu zao nyoooooooo. πππ
Inasikitisha kuona kwamba Real Madrid pamoja na kutocheza sana lakini wanakuja kushinda kwa matuta tu!
Athletico Madrid hawakustahili hili, wamecheza kwa bidii sana.
You saidNina wasiwasi sana na ATM, hawa jamaa penati hawako vizuri kabisa.
We ndugu yangu najua kabsa hii ilikuwa kwa leo tuuMie ata sina timu Spain.. Mie ni Yanga damu buana.... ππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atletico wamekufa kiume....teh...teh...teh
[emoji15] sizitaki mbichi hiziAcha tu wachukue maana ata hao ATM wenyewe hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania so ainiumi ata kidogo nyambafu zao nyoooooooo. πππ
Nimefurahi zizzou kuchukua ndoo hii.Mataji 11 ya UCL kibindoni...
Hala Madrid
Woyo woyo woyoooooooooo
Mtu kafungwa halafu una mfariji kafa kiume? Atletico walitakiwa kujua kuwa wakiingia fainali na Madrid wana asilimia chache ya kuchukua kombe! Madrid huwa wako bora kila wanapo ingia fainali UEFA!Atletico wamekufa kiume....teh...teh...teh
Umeona eeeh, ndio hivyo hivyo tu basi.We ndugu yangu najua kabsa hii ilikuwa kwa leo tuu
Kabsaaa mkuu wonderful tukoUmeona eeeh, ndio hivyo hivyo tu basi.
Kwanza sina nimjuaye huko Spain so acha waisome namba tu maana hakuna namna kwa kweli ππ
kwa namna alivyoandika imemuuma.[emoji15] sizitaki mbichi hizi