UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Eb tujifunze maths kdogo apa

Champions league goals
Messi = 4
Suarez =8
Neymar =3
Total = 15
Cr7 = 16
Final equation
MSN + 1 = CR7
If Ronaldo = 16
Messi. = 4
Neymar=3
Suarez =8
Then
1. Messi² = Ronaldo
2. 4(Messi)=Ronaldo
3. 4(Neymar)+Messi=Ronaldo
4. 2(Suarez)=Ronaldo
5. Suarez = ½ Ronaldo
6. Messi = ¼ Ronaldo
7. Messi = log2(Ronaldo)
8. MSN + ln(e)± log 1= Ronaldo
CR7
 
Mkuu, kasome kwanza historia ya haya mashindano ndio ulete malalamiko yako juu ya hayo makombe Madrid waliyochukua!!
Mkuu mimi sijakurupuka nimesoma history kulikuwa na vitimu tu toka Sweden sijui Portugal vitimu hata leo hii vingine havijulikani. Real champions league was branded 1992 ndio maana hata wao wanasema hakuna team iliyowahi kuchukua kombe la champions league mfululizo na mimi kwangu naanzia 1992 huko nyuma ilikuwa different formation na hata jina tofauti ilikuwa mtindo wa knockout mwanzo mwisho.
 
Ndio maana nilikuambia ukasome vizur historia ya UCL, ila bado inaonekana hutaki kupitia vizur hiyo historia. Mbona ipo wazi tu mkuu.
Hivyo viteam unavyoviona vidogo Leo wakati huo ndio walikua wababe kweny league zao, kwanza kumbuka kigezo kilikua ni team kua bingwa kweny ligi yao., tofauti na sasa.,
 
Mkuu mimi sijakurupuka nimesoma history kulikuwa na vitimu tu toka Sweden sijui Portugal vitimu hata leo hii vingine havijulikani. Real champions league was branded 1992 ndio maana hata wao wanasema hakuna team iliyowahi kuchukua kombe la champions league mfululizo na mimi kwangu naanzia 1992 huko nyuma ilikuwa different formation na hata jina tofauti ilikuwa mtindo wa knockout mwanzo mwisho.

Real Madrid sio enzi hizo unazosema wewe tu. Hata hii UCL era bado wanaongoza kwa kubeba ndoo, wamebeba more than any club. Sasa baada ya miaka mingine 20 au 25 system hii ikibadilishwa inamaana wanyang'anywe haya makombe wanayobeba sasa? Inaelekea hujui kitu sema unadandia treni tu kwasababu umesikia stori.
 
Aisee maneno yako utasema unaongea na watu hawajui mpira. Sasa umejirudi mwenyewe mimi sijasema R.Madrid haongozi nimesema zile 5 times old days. Kwa hiyo wanaosema wataalamu hakuna team imewahi kutetea ubingwa na wao wamedandia train? Washabiki wa Liverpool waseme sisi tumeshashinda premier league? Acha ushabiki njoo na facts mimi naongelea 1992 champions league sijasema nani anaongoza na haongozi. Halafu acha hilo neno kudandia train neno la kishamba.
 
We hujui kitu umedandia Tu treni. Nimekwambia kwamba
tangu UCL ianze Real Madrid kashachukua makombe mengi kuliko timu yoyote. Sasa nakuuliza swali, ikitokea on the future hii system ya sasa ya champion league ikibadilishwa, je utaomba Real Madrid inyang'anywe makombe? Unaongea kuhusu wataalamu. Wataalamu au haters Kama wewe? Kwanza sijui naongea na nani, nasema UCL Tu sijui Kama unajua maana yake!
 
Wala huna haja ya kujua unaongea na nani maana ukijuwa unaweza kuomba msamaha maana na uhakika sio level yako kabisa.
 
Fanya umeshinda mkuu maana huu ni ushabiki tu wa mpira hakuna haja ya kutumia lugha za kashfa na hizi ni team tu na mwisho wa siku ni furaha ni kama Simba na Yanga utani tu.
 
Wala huna haja ya kujua unaongea na nani maana ukijuwa unaweza kuomba msamaha maana na uhakika sio level yako kabisa.

Acha taarabu siyo level yako manaake nini? Real Madrid wamechukua makombe 5 kwenye old system, sasa hivi inachezwa system nyingine tangu 92' wamechukua makombe 6. Hatuna uhakika huu mfumo utakuwepo forever. Sasa nakuuliza tena simple question, ikitokea on the future huu mfumo ukibadilishwa je mtaomba wanyang'anywe makombe wanayochua sasa?
 
Back
Top Bottom