CR7Eb tujifunze maths kdogo apa
Champions league goals
Messi = 4
Suarez =8
Neymar =3
Total = 15
Cr7 = 16
Final equation
MSN + 1 = CR7
If Ronaldo = 16
Messi. = 4
Neymar=3
Suarez =8
Then
1. Messi² = Ronaldo
2. 4(Messi)=Ronaldo
3. 4(Neymar)+Messi=Ronaldo
4. 2(Suarez)=Ronaldo
5. Suarez = ½ Ronaldo
6. Messi = ¼ Ronaldo
7. Messi = log2(Ronaldo)
8. MSN + ln(e)± log 1= Ronaldo
For ballon d or
Ha ha haHahahaha
Hana jipya uyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]E bhana nimeona Twitter Shakira anasema Pique jana kavunja TV.
Mkuu mimi sijakurupuka nimesoma history kulikuwa na vitimu tu toka Sweden sijui Portugal vitimu hata leo hii vingine havijulikani. Real champions league was branded 1992 ndio maana hata wao wanasema hakuna team iliyowahi kuchukua kombe la champions league mfululizo na mimi kwangu naanzia 1992 huko nyuma ilikuwa different formation na hata jina tofauti ilikuwa mtindo wa knockout mwanzo mwisho.Mkuu, kasome kwanza historia ya haya mashindano ndio ulete malalamiko yako juu ya hayo makombe Madrid waliyochukua!!
Ndio maana nilikuambia ukasome vizur historia ya UCL, ila bado inaonekana hutaki kupitia vizur hiyo historia. Mbona ipo wazi tu mkuu.Mkuu mimi sijakurupuka nimesoma history kulikuwa na vitimu tu toka Sweden sijui Portugal vitimu hata leo hii vingine havijulikani. Real champions league was branded 1992 ndio maana hata wao wanasema hakuna team iliyowahi kuchukua kombe la champions league mfululizo na mimi kwangu naanzia 1992 huko nyuma ilikuwa different formation na hata jina tofauti ilikuwa mtindo wa knockout mwanzo mwisho.
Good newzE bhana nimeona Twitter Shakira anasema Pique jana kavunja TV.
Mkuu mimi sijakurupuka nimesoma history kulikuwa na vitimu tu toka Sweden sijui Portugal vitimu hata leo hii vingine havijulikani. Real champions league was branded 1992 ndio maana hata wao wanasema hakuna team iliyowahi kuchukua kombe la champions league mfululizo na mimi kwangu naanzia 1992 huko nyuma ilikuwa different formation na hata jina tofauti ilikuwa mtindo wa knockout mwanzo mwisho.
Aisee maneno yako utasema unaongea na watu hawajui mpira. Sasa umejirudi mwenyewe mimi sijasema R.Madrid haongozi nimesema zile 5 times old days. Kwa hiyo wanaosema wataalamu hakuna team imewahi kutetea ubingwa na wao wamedandia train? Washabiki wa Liverpool waseme sisi tumeshashinda premier league? Acha ushabiki njoo na facts mimi naongelea 1992 champions league sijasema nani anaongoza na haongozi. Halafu acha hilo neno kudandia train neno la kishamba.Real Madrid sio enzi hizo unazosema wewe tu. Hata hii UCL era bado wanaongoza kwa kubeba ndoo, wamebeba more than any club. Sasa baada ya miaka mingine 20 au 25 system hii ikibadilishwa inamaana wanyang'anywe haya makombe wanayobeba sasa? Inaelekea hujui kitu sema unadandia treni tu kwasababu umesikia stori.
Aisee maneno yako utasema unaongea na watu hawajui mpira. Sasa umejirudi mwenyewe mimi sijasema R.Madrid haongozi nimesema zile 5 times old days. Kwa hiyo wanaosema wataalamu hakuna team imewahi kutetea ubingwa na wao wamedandia train? Washabiki wa Liverpool waseme sisi tumeshashinda premier league? Acha ushabiki njoo na facts mimi naongelea 1992 champions league sijasema nani anaongoza na haongozi. Halafu acha hilo neno kudandia train neno la kishamba.
Wala huna haja ya kujua unaongea na nani maana ukijuwa unaweza kuomba msamaha maana na uhakika sio level yako kabisa.We hujui kitu umedandia Tu treni. Nimekwambia kwamba
tangu UCL ianze Real Madrid kashachukua makombe mengi kuliko timu yoyote. Sasa nakuuliza swali, ikitokea on the future hii system ya sasa ya champion league ikibadilishwa, je utaomba Real Madrid inyang'anywe makombe? Unaongea kuhusu wataalamu. Wataalamu au haters Kama wewe? Kwanza sijui naongea na nani, nasema UCL Tu sijui Kama unajua maana yake!
Fanya umeshinda mkuu maana huu ni ushabiki tu wa mpira hakuna haja ya kutumia lugha za kashfa na hizi ni team tu na mwisho wa siku ni furaha ni kama Simba na Yanga utani tu.We hujui kitu umedandia Tu treni. Nimekwambia kwamba
tangu UCL ianze Real Madrid kashachukua makombe mengi kuliko timu yoyote. Sasa nakuuliza swali, ikitokea on the future hii system ya sasa ya champion league ikibadilishwa, je utaomba Real Madrid inyang'anywe makombe? Unaongea kuhusu wataalamu. Wataalamu au haters Kama wewe? Kwanza sijui naongea na nani, nasema UCL Tu sijui Kama unajua maana yake!
Wala huna haja ya kujua unaongea na nani maana ukijuwa unaweza kuomba msamaha maana na uhakika sio level yako kabisa.