Piga piga pigaaaaa haoonipo Morocco namsubiria
Mimi sijasema sehemu yoyote makombe warudishe ya nini? European cup ilikuwa kivingine na new CL kivingine. Ndio maana na mimi nimeuliza Liverpool anaambiwa hajawahi kuchukuwa premier lakini vikombe 18 vya zamani anavyo. Mimi nadhani ni vizuri kila mtu akachukulia jinsi anavyoona inategemea na mshabiki wa team gani.Acha taarabu siyo level yako manaake nini? Real Madrid wamechukua makombe 5 kwenye old system, sasa hivi inachezwa system nyingine tangu 92' wamechukua makombe 6. Hatuna uhakika huu mfumo utakuwepo forever. Sasa nakuuliza tena simple question, ikitokea on the future huu mfumo ukibadilishwa je mtaomba wanyang'anywe makombe wanayochua sasa?
Mimi sijasema sehemu yoyote makombe warudishe ya nini? European cup ilikuwa kivingine na new CL kivingine. Ndio maana na mimi nimeuliza Liverpool anaambiwa hajawahi kuchukuwa premier lakini vikombe 18 vya zamani anavyo. Mimi nadhani ni vizuri kila mtu akachukulia jinsi anavyoona inategemea na mshabiki wa team gani.
Thanks brother, nime enjoy kubishana mambo ya mpira na hakuna ugomvi ni maono tofauti na heshimu maoni yako. Huu ni mpira tu wote tukiwa team moja itakuwa hakuna raha ndio maana ni lazima tubishane but with respect.Sasa Kama hutaki makombe yarudishwe unalia nini mbona ueleweki? Sema basi unataka nini? European Cup na Champion league Ni same competition in different system. Yanga na Simba wanahesabu nani kachukua ubingwa Mara nyingi, je unajua mfumo uliochezwa zamani? What happened in premier league or Liverpool isn't enough reason to streap some of the titles from Real Madrid or Yanga. Where's written that premier league is the formular of football?
Mpira umeanza shabikia lini wewe MadridistaUmesahau goli moja hapo, kwa ujumla ame-score magoli 17.
Mpira umeanza shabikia lini wewe Madridista
Weka sourceIt doesn't matter. We rekebisha tu hizo fact zako, msimu huu Cristiano amefunga magoli 17 kwenye UCL.
Kuwa mmoroco ana goli 17 msimu huu UEFASource ya nini?
Kuwa mmoroco ana goli 17 msimu huu UEFA
sio kosa lakoSihitaji google kujua Cristiano amefunga magoli mangapi kwenye UCL msimu huu, kwasababu nimeangalia every minute of all games. Goli la 17 Cristiano amefunga juzi against Atletico na ndio liliwapa ubingwa Real Madrid. I know, it hurts because Real Madrid players didn't mention Barcelona in their celebration, pole Sana.