ndoo ya maji?Atletico watabeba ndoo leo
Saa sita na nusu usiku utakuwa umeshajuwa kama wamebeba ndo ya maji ama vipi?leo Ronaldo atakuwa kama hayupo vilendoo ya maji?
Baba umepotea uko, azan uwa wanaonesha la liga tuuWakuu sehemu niliyopanga kuwepo leo muda game wana king'amuzi cha Azam na kifurushi cha 15000/- , je nitaweza kuona game ? Naomba mnijuze ili Kama siwezi kuona hapo nibadilishe kambi.
Tafadhali msaada
mardid bingwa...wala hamna shida hapo
Halla Madrid
mimi tena ni Yanga damu damu,tokea enzi za utoto nikiwa na miaka sita tu yaani nilikuwa sitoki kwenye radio,nachukua karatasi nandika list ikiwa inatajwa,number moja Steven Nemesi,mbili Abuubakari "Salum sure boy",tatu Keneth Mkapa,nne Godwin Aswile,tano Salum kabunda "Ninja",sita Issa Athuman,saba Sanifu Lazaro "Tingisha",nane Athuman China,tisa Nteze John,kumi Saidi Mwanza "Kizota",kumi na moja Edibily Lunyamila.Kumbe na wewe unapenda mpira eeeh.
wewe una akiliKwa mechi ya Leo atletico Madrid anabeba ndoo
Toka 2013 hadi Leo, madridsta ameshinda mechi Moja tu Kati ya kumi
acha kukariri mkuu...ingawa game itakuwa na ushindani mkubwa but ukweli utabaki pale pale kuwa "mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu"
alipo tupo...Diego SimeoneEl cholo
subirieni vilioNiko Royal Madrid
La undecima leo
wewe wasemamardid bingwa...wala hamna shida hapo
aisee...Real Madrid timu bovu halichezi kitimu akishinda leo natembea uchi Kuanzia escape one hadi Kimara
Mimi nitatembea uchi kwanzia hapa Jamii forum mpaka InstagramReal Madrid timu bovu halichezi kitimu akishinda leo natembea uchi Kuanzia escape one hadi Kimara
Umefanya chaguo sahihi na kamwe hutojuta.Team Atletico. Madrid mjipange tena kwa mwakani.