Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
HahahaaHuku michepukoni siyo Mbaya kupingana [emoji3]
Alaf michepuko yenyewe ya vumbi hii
Istupe shda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaHuku michepukoni siyo Mbaya kupingana [emoji3]
wa upande wa kulia ndo mshindi. ustaadh zinedine zidane zizou. muislamu wa kwanza akiwa kama kocha kubeba kombe la UEFA. غخوأرردبـجفيفءفinshalaaaaah
Hapana mkuu...nafata kile kilicho boraTatizo ww PNC 1 ana kupotosha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa tuta ona apo apoHapana mkuu...nafata kile kilicho bora
hahahah...haya bhana ujitahidi ufike hadi WhatsAppNakusindikiza.......Ila nitapitiliza mpaka Facebook.......
Mkuu endelea kuotaNawasikitikia hawa majirani zetu wenye chuki na sisi(R.Madrid) ambao wamehamia Atletiço Madrid kwa mkopo leo. Kuwa mpaka ikifika 23:59 leo tayari watakuwa wanalia[emoji24] [emoji24] na wataiona hii thread kama jela vile.. saa hyo sisi tumenyanyua juu[emoji471]
Cc: The PNC, Mussolin5
mia miaSawa tuta ona apo apo
TEAM ATLETICO DE MADRID safari hii hatutaki mbeleko mpira uongezwe dakika 3 goli lifungwe dakika ya 94. LEO NIMESAJILIWA NA SIMEON KWA MKOPO.![]()
PUNDA AFE MZIGO UFIKE
kokeeeeeee Greezmaaaaan Saaulllllll Toreeeeeees
![]()
ZIDANE NILIKUFAGILIA ULIPOKUWA UFARANSA ILA KWA LEO NISAMEHE SAAANA![]()
My Take: Zidane ashoneshewe suruali vzur Sipendi tabia ya mafundi kumpunja uzi wa nguo
![]()
Ok, tutaona kati ya mimi na wewe ni nani anaota..Mkuu endelea kuota
.....ameongea huku anatetemeka!, km wao walikula kidude nyumbani kwao Bernabeu na Zidane wao!,kwanini leo wasile kingine?!🙄🙄"kama alikula 4 fainal iliyopita, hii itashindikana nini?" by pepe
mpira dk 90Ok, tutaona kati ya mimi na wewe ni nani anaota..
Muda utaongea..