UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Hii Uefa bana Atletico watapigwa tu na Leo hakuna cha mda wa maongez,tena wale wa kubet mpe handcup Madrid.
 
niko hapa jiji la milan naona ndoo inatembezwa mitaa ya milan mashabki waione kisha inakwenda kupack uwanjani san siro
 
Ronaldinho akiwasili San siro tayari kushuhudia fainali
01a67af65306cf773fd945cb9163183e.jpg
 
719b96c51135945a124c68ed9011fb80.jpg
TEAM ATLETICO DE MADRID safari hii hatutaki mbeleko mpira uongezwe dakika 3 goli lifungwe dakika ya 94. LEO NIMESAJILIWA NA SIMEON KWA MKOPO.
PUNDA AFE MZIGO UFIKE
kokeeeeeee Greezmaaaaan Saaulllllll Toreeeeeees
b6e30a92d3cf6b98d13245b7c08a1298.jpg


ZIDANE NILIKUFAGILIA ULIPOKUWA UFARANSA ILA KWA LEO NISAMEHE SAAANA
3177a9d0655dbc24b9c7d243c8407b8c.jpg



My Take: Zidane ashoneshewe suruali vzur Sipendi tabia ya mafundi kumpunja uzi wa nguo
6d0b46a74ef4c9b53a3058d5c7940680.jpg
hahaaahaaahaah....pnc mkaanga sumu maarufu kutoka catalunya
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Today iz today, whom say tomorrow is a liar(leo ndio leo, asemae kesho muongo) huku atletico madrid huku real madrid.

Hawa wakishua hawa wahuni, wabishi wa jiji. Niseme mapema mie jamani ni atletico daima, naiheshim madrid(fundi modric,kroos, cr7) fundi zizzou leo acha tutengane tu. Nipo upande wa muhun mwenzangu el cholo..

Wewe uko upande gani!?

Nipo Atletico ila kazi ipo kwakuwa Real Madrid kwenye fainal sijui huwa ana sumu gani aisee. Kipindi kile alikuwa anapigwa hadi 6 na barca walivyokutana fainal cope del ray barca alikalishwa ka mtoto. Walivyokutana UCL na Atletico tuliona kilichotokea na safari hii kwenye ligi Atletico alishinda nje ndani. Mark my words
 
Leo Jumamosi 28.5.2016 ndio siku ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, michuano mikubwa kabisa na yenye uhondo wa pekee duniani kwa ngazi ya vilabu.

Fainali hii inazikutanisha timu mbili toka Spain na pia katika jiji moja la Madrid, ambapo Atletico Madrid uso kwa uso na Real Madrid pale katika uwanja wa Guiseppe Meazza au San Siro ndani ya jiji la Milan.

Atletico watachagizwa na wachezaji wao mahiri Griezmann,Torres, Koke, Saul huku idara ya ulinzi ikiwa chini ya jemedari Diego Godin.

Kwa upande wa Real wao watategemea zaidi Ronaldo, Bale, Modric bila kumsahau shujaa asiyeimbwa Casemiro.

Nani kucheka baada ya mpira kuisha kati ya Diego Simeone kocha mwenye mbinu za kukaba zaidi AU Zinedine Zidane kocha mwenye mbinu za kushambulia zaidi. Ikumbukwe hii ni mara ya pili timu za Madrid kukutana kwenye fainali hii ambapo mara ya kwanza Atletico alifungwa, Je leo watalipa kisasi??

Mechi ni saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki na itaonyeshwa kupitia Super Sport 3 ( SS3 ).
Tukutane hapa kwa live updates!!

cc: Th Name Belo Jimena Aleyn everlenk PNC 1 rubaman Mentor na wengineoo
Pamoja sana mkuu Mussolin5
Hala Madrid
 
Na mimi nieleweke tu, nipo Atletico de Madrid!!
Unaachaje kushabikia timu inayoundwa na wachezaji mahiri kama Jose Maria Gimenez, Saul, Koke, El nino Torres, Kamanda Diego Godin na El capitano Gabi ambaye anafanya majukumu yake kwa ubora wa hali ya juu ( unaitaji jicho la ziada kuliona hilo ) bila kumsahau master of clean sheet golikipa Oblak
Hii kauli utaijutia
Cc th Name na Szczesny
 
Back
Top Bottom