Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mzee anaitwa Andy Townsendkama unacheki now kupitia super sport kuna mzee mmoja anahojiwa koti lake la suti ni matata sana sijajua brand ya nani hii...
Shukrani nipatie na brand ya ile koti kama unaijua pia mkuuYule mzee anaitwa Andy Townsend
Endeleeni kujipa moyo kama si kujidanganya...Mpaka saa 6 usiku kufika tutakuwa tumeshanyanyua hii[emoji116][emoji116] kitu juu tukishangilia kwa furaha
![]()
We ndo una jipa moyo hapo ndugu yanguEndeleeni kujipa moyo kama si kujidanganya...
Nyie ndo tabia yenu ya kutunanga daily lakini mwisho wa siku mnaingia mitini mkiona tumeshnyakua KombeEndeleeni kujipa moyo kama si kujidanganya...
Wanachukuwa usiwazeGame kama hizi mara nyingi zinaumiza roho sana. Natamani Atletico wachukue hiki kikombe lakini dah......
Nitaumia sana kama watakikosa. Wamefanya kazi kubwa sana.
#TeamAtletico.
Wanachukua ndoo babNatamani Atletico anyanyue kwapa.