UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

Nikumbushe tujadili baada ya bingwa kupatikana,

Kwa sasa hakuna atakae kuelewa
 

Liverpool Bingwa
 
Huu uzi mtaudharau lakini jueni kuwa dunia hii kila tukio unaloliona kuna watu wako under cover wana pull strings.

Kuna secret societies nyingi zenye nguvu duniani na zinazoamua nini kitokee lini na kinatokea. Msimdharau mtoa mada maana mwisho wa siku mtatamani kujificha kwa aibu. Bora kutulia na ku observe tu yanayofanywa na hizi jamii za siri zenye mamlaka kubwa hapa duniani.
 
Usiamin kila unachoona kwenye mtandao mkuu!!

Umesema nitumie utashi, baada ya kutumia utashi nimeona unapiga ramli...
Sawa nashukuru mkuu..

Lakini kuna swali la msingi hujanijibu hapo..

Unazungumziaje hapo Roma kuuza tiket kabla droo haijapangwa.?
 
Hizo ni coincidence tu mkuu siamini katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…