UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

Aina hii ya upuuzi siwezi kujiaminisha tena
Eti nilijiwekea 90% kuwa liver atashinda kwa haya maelezo ya mtoa mada
Mambo yamekua vise versa dooh ningesema nibet ningeliwa kiasi kikubwa sana
 
Ngoja tusubiri hiyo 26. Ninacho amini mambo huwa hayatokei kwa bahati mbaya tu.


3266ABE500000578-3501708-image-a-61_1458507571249.jpg
 
mtoa mada ukwap, tuambie hao wanaopanga mambo ya dunia wamekosea kupiga ramli au wameamua kubadili baada ya wewe kujua siri zao
 
Yaelekea yule dogo mwanafunzi aliejinyonga mshabiki wa liverpool huko mbeya alipitia hapa akaweka mzigo wa maana.
 
Waingereza walishaharibu mashabiki wa mpira kisa Liver ya kwao wakaipigia debe na ramli za uongo
 
Hahaha wote tuliangalia mechi na mshindi alipatikana tofauti na wengi waluvyodhania.
 
Jamaa kayeyuka kama barafu kwenye jua kali, Liverpool angeshinda angerudi kutujazia server humu
 
Back
Top Bottom