UEFA Champions League: Hatua ya Mtoano ya 16 Bora

Mpira unadunda mkuu, kuna mechi ya uefa, Ac milan alishinda 4-1 ugenini dhidi ya Derpotivo La Coruna.

Marudiano pale San Siro, Milan akala 4-0 akatolewa nyumbani. Hivyo chochote kinaweza kutokea Nou Camp.

AC Milan alishinda 4-1 San Siro, kwenda Riazor ndio Deportivo La Coruna alishinda 4-0
 
Mpira unadunda mkuu, kuna mechi ya uefa, Ac milan alishinda 4-1 ugenini dhidi ya Derpotivo La Coruna.

Marudiano pale San Siro, Milan akala 4-0 akatolewa nyumbani. Hivyo chochote kinaweza kutokea Nou Camp.
Mkuu hilo unalosema linawezekana sawa, lakini kwa misingi ipi!!?

Kwa statistics hizi barcelona afunga hizo goal zote 5 alafu hao PSG wasipate goal lolote kweli!? Si watajiuzuru kucheza mpira siku hiyo hiyo.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba katika historia ya michuano hii , hakuna timu iliyopigwa 4+ katika game ya kwanza iliwahi kupindua matokeo .
Haha.. Jana PSG wamenipa pesa ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…