Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni Allianz ArenaSubiri maajabu mengine Emirates leo
Mpira unadunda mkuu, kuna mechi ya uefa, Ac milan alishinda 4-1 ugenini dhidi ya Derpotivo La Coruna.
Marudiano pale San Siro, Milan akala 4-0 akatolewa nyumbani. Hivyo chochote kinaweza kutokea Nou Camp.
Mkuu hilo unalosema linawezekana sawa, lakini kwa misingi ipi!!?Mpira unadunda mkuu, kuna mechi ya uefa, Ac milan alishinda 4-1 ugenini dhidi ya Derpotivo La Coruna.
Marudiano pale San Siro, Milan akala 4-0 akatolewa nyumbani. Hivyo chochote kinaweza kutokea Nou Camp.
Tuweke akiba ya manenoMkuu hilo unalosema linawezekana sawa, lakini kwa misingi ipi!!?
Kwa statistics hizi barcelona afunga hizo goal zote 5 alafu hao PSG wasipate goal lolote kweli!? Si watajiuzuru kucheza mpira siku hiyo hiyo.
![]()
Bdo mbwa wawiliMbwa katoka
Nadhani majibu unayo .PSG hata walipokuwa kamili kipindi cha David Luiz na Zlatan bado walikuea wana- struggle pindi wakikutana na Barca.
Tusubirie dk90 pale Parc Des Princes
Believe me they will come backThere will be no FC Barcelona in quater final for first time since 2007.
Taarifa zinaonyesha kwamba katika historia ya michuano hii , hakuna timu iliyopigwa 4+ katika game ya kwanza iliwahi kupindua matokeo .Believe me they will come back
Haha.. Jana PSG wamenipa pesa ndefuTaarifa zinaonyesha kwamba katika historia ya michuano hii , hakuna timu iliyopigwa 4+ katika game ya kwanza iliwahi kupindua matokeo .