UEFA Champions League: Hatua ya Mtoano ya 16 Bora

UEFA Champions League: Hatua ya Mtoano ya 16 Bora

Maono yangu yanakaribia kutimia, kama nilivyosema hapo juu
Cc: PNC 1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1483944679369.jpeg
 
Honestly sioni kama wenyeji Leo wana nafasi ya kushinda
That means ushindi wa wenyeji Leo ni draw
Ukifuatilia vyema PSG hawako vyema msimu huu japo addition ya draxter umeleta kitu tofauti sana kwenye ushambuliaji
But sioni wakishinda mbele ya barca
Unatabiri kinyumenyume
 
There will be no FC Barcelona in quater final for first time since 2007.
Mpira unadunda mkuu, kuna mechi ya uefa, Ac milan alishinda 4-1 ugenini dhidi ya Derpotivo La Coruna.

Marudiano pale San Siro, Milan akala 4-0 akatolewa nyumbani. Hivyo chochote kinaweza kutokea Nou Camp.
 
Back
Top Bottom