Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #61
Kakopi na kupestiArsenal kapindua matokeo ya kule ujerumani kaleta uingereza
Hawa wajerumani wana roho mbaya, hivi Arsene Wenger atapata usingizi kweli leo?Jamaa wamegeuza wembe upande wa pili.
Huyu mzee miaka 67 atakuja anguka hapo siku moja nakumbuka kipindi kile wamepigwa na Liverpool alianguka kaa embe.Hawa wajerumani wana roho mbaya, hivi Arsene Wenger atapata usingizi kweli leo?
Hahaha...enough is enough. Aondoke kwa maslahi ya timu na yeye binafsi.Huyu mzee miaka 67 atakuja anguka hapo siku moja nakumbuka kipindi kile wamepigwa na Liverpool alianguka kaa embe.
Nazani umekiona mkuu ...5+5=10-2=8 wametokaa kwa nanee ujajumlishaa LA ugenini hapooNaenda kuona kipigo tena cha bao tano kutoka kwa bayani miyuniki
Aisee utabiri wako umetimia mkuu, You are a living legend.Naenda kuona kipigo tena cha bao tano kutoka kwa bayani miyuniki
Nazani umekiona mkuu ...5+5=10-2=8 wametokaa kwa nanee ujajumlishaa LA ugenini hapoo
Aisee utabiri wako umetimia mkuu, You are a living legend.
Sasa mbona povu? Sisi ndo tunaijua arsenal, uneona kilichotokea? Sasa wewe ndo tuombe radhi kwa kutuambia tunaichukiaNaomba uombe msamaha mkuu, mimi sio mshabiki wa hiyo kitu.
Haina maana kwa arsenalHii michuano haina maana hata kidogo.
ImetimiaNaenda kuona kipigo tena cha bao tano kutoka kwa bayani miyuniki
PSG anafungwa kiulaini kabisaaaaSasa leo ni zamu ya Barcelona, sitaki kuamini PSG kama atakubali kufungwa kirahisi
weee jamaaa mchawi niniNaenda kuona kipigo tena cha bao tano kutoka kwa bayani miyuniki
MECHI ZA LEO:
Arsenal Vs Bayern Munich
Napoli Vs Real Madrid
MECHI ZA KESHO:
Barcelona Vs PSG
Borussia Dortmund Vs Benfica
Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo ambapo Arsenal watakuwa nyumbani kuwakaribisha wajerumani Bayern Munich. Ikumbukwe mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 5-1 hivyo leo anahitaji ushindi wa goli 4-0 ili asonge mbele, Je mwalimu Arsene Wenger ataweza kugeuza matokeo na kupata ushindi wa 4-0 leo hasa wakichagizwa na advantage ya uwanja wa nyumbani?
Kesho pia kuna shughuli pale Nou Camp, ambapo Barcelona watakuwa wanahitaji ushindi wa goli 5-0 ili wasonge mbele, je wataweza kubadili matokeo dhidi ya PSG?
Karibu utupe mawazo yako.