Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Nazani umekiona mkuu ...5+5=10-2=8 wametokaa kwa nanee ujajumlishaa LA ugenini hapoo
5fa8ac9a99c2551d12544071458f50ee.jpg
 
Naomba uombe msamaha mkuu, mimi sio mshabiki wa hiyo kitu.
Sasa mbona povu? Sisi ndo tunaijua arsenal, uneona kilichotokea? Sasa wewe ndo tuombe radhi kwa kutuambia tunaichukia
 
Naenda kuona kipigo tena cha bao tano kutoka kwa bayani miyuniki
weee jamaaa mchawi nini
MECHI ZA LEO:
Arsenal Vs Bayern Munich
Napoli Vs Real Madrid​

MECHI ZA KESHO:
Barcelona Vs PSG
Borussia Dortmund Vs Benfica​

Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo ambapo Arsenal watakuwa nyumbani kuwakaribisha wajerumani Bayern Munich. Ikumbukwe mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 5-1 hivyo leo anahitaji ushindi wa goli 4-0 ili asonge mbele, Je mwalimu Arsene Wenger ataweza kugeuza matokeo na kupata ushindi wa 4-0 leo hasa wakichagizwa na advantage ya uwanja wa nyumbani?

Kesho pia kuna shughuli pale Nou Camp, ambapo Barcelona watakuwa wanahitaji ushindi wa goli 5-0 ili wasonge mbele, je wataweza kubadili matokeo dhidi ya PSG?

Karibu utupe mawazo yako.
 
Back
Top Bottom