Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Tatizo la arsenal kocha mbinu zake za kizamani sana
 
Nasikia timu ya netiboli ya ArsayNO imefungwa [emoji637] [emoji778]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe ndo unaleta porojo. Mpira uwanjani ndio maana naamini uwanjani Barca watafanya maajabu. Tuliza mtori nyama ziko chini.
Labda maajabu ya kufunga goli za mkono au kumpanga kipa mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We tulia saa sita usiku uje kunisabahi hapa
Jipe matumaini ya ng'ombe kupita kwenye shimo la panya halafu baadaye utakimbia mwenyewe

Barca kushinda anaweza hakuna anayebisha lakini hana ubavu wa kupindua [emoji640] kwa PSG ile yenye viungo kina Matuidi na Rabbiot halafu mbele kuna Cavani na Di Maria tusidanganyane tafadhali

Mpira unadunda lakini sio kwenye tope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
If it is a team that can score more than six goal against a big team like PSG, that team is FCB. Says Real Madrid legend Gutti.
Hata Pele ni bingwa wa kuongea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tuliza mtori huo nyama ziko chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…