Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #81
Ila sio goli 5PSG anafungwa kiulaini kabisaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila sio goli 5PSG anafungwa kiulaini kabisaaaa
Siyo tano anafungwa sitaIla sio goli 5
Naona tu kwenye chungu hapa.weee jamaaa mchawi nini
Nimeanza kuangalia mpira kitambo sana, ila sio kwa Barca hii.Siyo tano anafungwa sita
Acha kuishi kwa Historia.Nimeanza kuangalia mpira kitambo sana, ila sio kwa Barca hii.
Mpira dk 90. Ila nitastaafu kufatilia mpira kama Barca atafuzu robo fainali.Acha kuishi kwa Historia.
Tatizo la arsenal kocha mbinu zake za kizamani sanaMECHI ZA LEO:
Arsenal Vs Bayern Munich
Napoli Vs Real Madrid
MECHI ZA KESHO:
Barcelona Vs PSG
Borussia Dortmund Vs Benfica
Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo ambapo Arsenal watakuwa nyumbani kuwakaribisha wajerumani Bayern Munich. Ikumbukwe mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 5-1 hivyo leo anahitaji ushindi wa goli 4-0 ili asonge mbele, Je mwalimu Arsene Wenger ataweza kugeuza matokeo na kupata ushindi wa 4-0 leo hasa wakichagizwa na advantage ya uwanja wa nyumbani?
Kesho pia kuna shughuli pale Nou Camp, ambapo Barcelona watakuwa wanahitaji ushindi wa goli 5-0 ili wasonge mbele, je wataweza kubadili matokeo dhidi ya PSG?
Karibu utupe mawazo yako.
Acha porojo hicho kitu hakipo hata kama psg watabaki 8 uwanjaniAcha kuishi kwa Historia.
Siyo tano anafungwa sita
PSG anafungwa kiulaini kabisaaaa
Uwe na Tabia ya kuweka akiba ya maneno. Nitakukumbusha hayaMpira dk 90. Ila nitastaafu kufatilia mpira kama Barca atafuzu robo fainali.
Wewe ndo unaleta porojo. Mpira uwanjani ndio maana naamini uwanjani Barca watafanya maajabu. Tuliza mtori nyama ziko chini.Acha porojo hicho kitu hakipo hata kama psg watabaki 8 uwanjani
Labda maajabu ya kufunga goli za mkono au kumpanga kipa mbeleWewe ndo unaleta porojo. Mpira uwanjani ndio maana naamini uwanjani Barca watafanya maajabu. Tuliza mtori nyama ziko chini.
We tulia saa sita usiku uje kunisabahi hapaLabda maajabu ya kufunga goli za mkono au kumpanga kipa mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwisho wa Bashalona ni leo hakuna cha historia wala nini wameshaharibu kwa kukubali kupigwa nne first legUkweli siku zote mchungu
Jipe matumaini ya ng'ombe kupita kwenye shimo la panya halafu baadaye utakimbia mwenyeweWe tulia saa sita usiku uje kunisabahi hapa
Hata Pele ni bingwa wa kuongeaIf it is a team that can score more than six goal against a big team like PSG, that team is FCB. Says Real Madrid legend Gutti.
Uwe na Tabia ya kuweka akiba ya maneno. Nitakukumbusha haya
Kweli mkuuMwisho wa Bashalona ni leo hakuna cha historia wala nini wameshaharibu kwa kukubali kupigwa nne first leg
Tuliza mtori huo nyama ziko chini.Jipe matumaini ya ng'ombe kupita kwenye shimo la panya halafu baadaye utakimbia mwenyewe
Barca kushinda anaweza hakuna anayebisha lakini hana ubavu wa kupindua [emoji640] kwa PSG ile yenye viungo kina Matuidi na Rabbiot halafu mbele kuna Cavani na Di Maria tusidanganyane tafadhali
Mpira unadunda lakini sio kwenye tope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]