Labda wasindikizwe na read cad 2,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa wanakula 6
Mkuu ubashiri umekuwa sivyo ila matokeo yale yametiwa doa na penalt mbil za kimakosa pili psg wasingefunga bao lolote tofaut na lile moja.umetumwa wewe sio bure tena mwambie aliyekutuma kuwa BARCA haingiliki
Utabiri umetimia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa wanakula 6
wewe lumumbaaaAaaaleo barca atapigwa tena si chini ya goli 2
Mpira dk 90. Ila nitastaafu kufatilia mpira kama Barca atafuzu robo fainali.
Siyo tano anafungwa sita
Jipe matumaini ya ng'ombe kupita kwenye shimo la panya halafu baadaye utakimbia mwenyewe
Barca kushinda anaweza hakuna anayebisha lakini hana ubavu wa kupindua [emoji640] kwa PSG ile yenye viungo kina Matuidi na Rabbiot halafu mbele kuna Cavani na Di Maria tusidanganyane tafadhali
Mpira unadunda lakini sio kwenye tope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muwe na akiba ya maneno.ArsayNO na Badhalona wakipita/pindua matokeo nipigwe life ban
Kuna wajinga wanafananisha Celta Vigo na PSG yenye Rabbiot, Cavan na Di Maria
Upo?? Barca usiifananishe na team za kijingaHatukatai kuwa barcelona inashinda leo..
Inaweza kushinda 5 - 1, 6 -2.
Ila robo haiingii
Hapa naona jibu ushalipata[emoji28][emoji28][emoji28]
Nilikuambia tuliza mtori nyama ziko chino[emoji28][emoji28][emoji28] nadhani umeshaelewa sasa[emoji23][emoji23]Jipe matumaini ya ng'ombe kupita kwenye shimo la panya halafu baadaye utakimbia mwenyewe
Barca kushinda anaweza hakuna anayebisha lakini hana ubavu wa kupindua [emoji640] kwa PSG ile yenye viungo kina Matuidi na Rabbiot halafu mbele kuna Cavani na Di Maria tusidanganyane tafadhali
Mpira unadunda lakini sio kwenye tope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usirudie kuifananisha Barca na Arsenal[emoji28][emoji28][emoji28]Labda maajabu ya kufunga goli za mkono au kumpanga kipa mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona sita nilizokuambia?Acha porojo hicho kitu hakipo hata kama psg watabaki 8 uwanjani
Mkuu ushastafu au bado[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mpira dk 90. Ila nitastaafu kufatilia mpira kama Barca atafuzu robo fainali.
Kaa kimya tu ili ufiche upumbavu wako, ile hata watoto wanajua mmelazimishwa kuwaondoa psgUmeona sita nilizokuambia?
Barca wanabebwa sana mpk kero na ukiangalia....kila mechi lazima waanzie ugenn hii inawapa chance zaidi ya kupitaMkuu ubashiri umekuwa sivyo ila matokeo yale yametiwa doa na penalt mbil za kimakosa pili psg wasingefunga bao lolote tofaut na lile moja.
Tuendelee kuwa pamoja kuna timu inakuja kupewa aibu hivi karibuni UEFA
Peleka upopoma mbele huko. Maumivu yakizidi kamuone Dr.[emoji382] [emoji382]Kaa kimya tu ili ufiche upumbavu wako, ile hata watoto wanajua mmelazimishwa kuwaondoa psg
Hahahaha teh teh teh teh teh tehUsirudie kuifananisha Barca na Arsenal[emoji28][emoji28][emoji28]