Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

umetumwa wewe sio bure tena mwambie aliyekutuma kuwa BARCA haingiliki
Mkuu ubashiri umekuwa sivyo ila matokeo yale yametiwa doa na penalt mbil za kimakosa pili psg wasingefunga bao lolote tofaut na lile moja.

Tuendelee kuwa pamoja kuna timu inakuja kupewa aibu hivi karibuni UEFA
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mpira dk 90. Ila nitastaafu kufatilia mpira kama Barca atafuzu robo fainali.

Siyo tano anafungwa sita

Jipe matumaini ya ng'ombe kupita kwenye shimo la panya halafu baadaye utakimbia mwenyewe

Barca kushinda anaweza hakuna anayebisha lakini hana ubavu wa kupindua [emoji640] kwa PSG ile yenye viungo kina Matuidi na Rabbiot halafu mbele kuna Cavani na Di Maria tusidanganyane tafadhali

Mpira unadunda lakini sio kwenye tope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ArsayNO na Badhalona wakipita/pindua matokeo nipigwe life ban

Kuna wajinga wanafananisha Celta Vigo na PSG yenye Rabbiot, Cavan na Di Maria
Muwe na akiba ya maneno.
Cc Mussolin5 Bitoz
 
Jipe matumaini ya ng'ombe kupita kwenye shimo la panya halafu baadaye utakimbia mwenyewe

Barca kushinda anaweza hakuna anayebisha lakini hana ubavu wa kupindua [emoji640] kwa PSG ile yenye viungo kina Matuidi na Rabbiot halafu mbele kuna Cavani na Di Maria tusidanganyane tafadhali

Mpira unadunda lakini sio kwenye tope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuambia tuliza mtori nyama ziko chino[emoji28][emoji28][emoji28] nadhani umeshaelewa sasa[emoji23][emoji23]
 
Mkuu ubashiri umekuwa sivyo ila matokeo yale yametiwa doa na penalt mbil za kimakosa pili psg wasingefunga bao lolote tofaut na lile moja.

Tuendelee kuwa pamoja kuna timu inakuja kupewa aibu hivi karibuni UEFA
Barca wanabebwa sana mpk kero na ukiangalia....kila mechi lazima waanzie ugenn hii inawapa chance zaidi ya kupita
 
Back
Top Bottom