Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hapa hakuna team ya kuifananisha na Barcelona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hakuna team ya kuifananisha na Barcelona
[emoji23] hapa kwenye hesabu za darasa la 3 inaitwa "Jaza jedwali lililoachwa wazi"
Hatukatai kuwa barcelona inashinda leo..Hapa hakuna team ya kuifananisha na Barcelona
Wewe ni mchawi!Naenda kuona kipigo tena cha bao tano kutoka kwa bayani miyuniki
Mimi na Lema ni Ndugu usipuuze lakiniWewe ni mchawi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] chuki yako dhidi ya FC BARCELONA ni kubwa mnooHatukatai kuwa barcelona inashinda leo..
Inaweza kushinda 5 - 1, 6 -2.
Ila robo haiingii
vp leo unamuonaje PSG atakalishwa zaid ya ngap?Mimi na Lema ni Ndugu usipuuze lakini
Atapigwa Bao nne PSG kwa mojavp leo unamuonaje PSG atakalishwa zaid ya ngap?
umetumwa wewe sio bure tena mwambie aliyekutuma kuwa BARCA haingilikiAtapigwa Bao nne PSG kwa moja
No way,receive my likes......Wenger anatumia cheti cha mtu. Jina lake halisi ni Asumani Mawenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12] mkuu mm nawatakia ushindi wa 8 - 4[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] chuki yako dhidi ya FC BARCELONA ni kubwa mnoo
Hujaelewa Barca anampiga PSG bao Nne kwa moja.umetumwa wewe sio bure tena mwambie aliyekutuma kuwa BARCA haingiliki
Tulia mkuuPsg wameshajifunga wasenge hawa mitim
Ya ufaransa n swa tu ya England
Mkuu hawa jamaaa wananiboaTulia mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa wanakula 6Mkuu hawa jamaaa wananiboa
Sana maana c kwa ujinga huu wanao ufanya jana arsenal leo wao
Sasa mtaani kutakalika kweli