Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapenzi wa soka leo tunapata kufahamu nani atakutana na nani kwenye mashindano ya UEFA.
Muda huu draw inafanyika
![]()
barcelona njeee
Chelsea tunalibeba kumbe kiulaini tu
Chelsea tunalibeba kumbe kiulaini tu
Bora mwongee saiz maana mda ukifika hamta kuwa na chakuongea
Barca vs Arsenal
Chelsea tunalibeba kumbe kiulaini tu
jipe moyo
Kama ni kumbe mnalileba kiulaini ila kama ni kombe sahauni