UEFA Champions league last 16 Draw

UEFA Champions league last 16 Draw

Tough game ni Juventus na Bayern Munich. Hao kina aseno na chelsii wajiandae kaondoka tu, maana hamna namna.
Naona clabu za Spain zikiendelea kutesa ulaya. Angalia wapinzani wao ni dhaifu sana. Kule England city ndio wana nafuu angalao wanaweza kwenda robo fainal.
 
Uko sahihi mkuu Bingwa Barcelona
 
Back
Top Bottom