karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 223
Goli la ugenini vepewakipiga la 2 hapa wanaharibu mchakato mzima maana hata RMA akapiga goli ngoma itaenda extra time.
halina faida sana kwa sasa kwa sababu dakika 90 ni exact same score kama first leg kwa hiyo ngoma inaenda 120Goli la ugenini vepe
Nimeona kiongozihalina faida sana kwa sasa kwa sababu dakika 90 ni exact same score kama first leg kwa hiyo ngoma inaenda 120
Daaaaa bayani ndio basi tena artulo kala umeme kupita ni ngumu sana ila tuombe mungu bayani wana bahati mbaya na nyekundu imeniuma sana lasivyo Madrid wangekuwa nje LeoNimeona kiongozi
Duuhh we jamaaCR7 HAT TRICKS
Bingwa mtetezi Real Madrid anaenda kuvuliwa ubingwa wake na Bayern Munich usiku wa leo pale dimbani Santiago Bernabeu.
Kurudi dimbani kwa Roberto Lewandowski ni dalili njema kuwa Bayern Munich ama " The Bavarians " watatakata na kuitoa mashindanoni Real Madrid ambayo katika siku za karibuni wamekuwa na fomu isiyokuwa nzuri kwa wachezaji wake wa mbele yaani BBC.
Kama ilivyo ada, Bingwa mtetezi hawezi kuchukua mara mbili hivyo leo ni siku nzuri kwa Real Madrid kufurumushwa nje ya mashindano.
Mechi ni saa 3:45 usiku
Salama kiongoziUmoja wa Ulozi(UwU)-Kigoma na Sumbawanga.
Tayari CR7 kashafanyiwa Mambo ya ajabu..kuona kwake goli itakuwa ni shida sana.. Bayern itachanja mbuga!!
View attachment 497899