Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Madrid kasaidiwa naona akipita kabisa....

Ila kama huyu refa kama angekuwa fair basi hata casemiro hakistahili kuwepo hadi dakika hii
 
Nimeona kiongozi
Daaaaa bayani ndio basi tena artulo kala umeme kupita ni ngumu sana ila tuombe mungu bayani wana bahati mbaya na nyekundu imeniuma sana lasivyo Madrid wangekuwa nje Leo
 
Dah, Ronaldo kawa mwiba mchungu sasa, hat trick kwa Bayern!
 
Kheeee kheeeeeee Bye bye Bayern Munich see you in 2017/2018 season.

Bingwa mtetezi Real Madrid anaenda kuvuliwa ubingwa wake na Bayern Munich usiku wa leo pale dimbani Santiago Bernabeu.

Kurudi dimbani kwa Roberto Lewandowski ni dalili njema kuwa Bayern Munich ama " The Bavarians " watatakata na kuitoa mashindanoni Real Madrid ambayo katika siku za karibuni wamekuwa na fomu isiyokuwa nzuri kwa wachezaji wake wa mbele yaani BBC.

Kama ilivyo ada, Bingwa mtetezi hawezi kuchukua mara mbili hivyo leo ni siku nzuri kwa Real Madrid kufurumushwa nje ya mashindano.
Mechi ni saa 3:45 usiku
58f5387446de6.jpeg
 
Back
Top Bottom