Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]At this point all that I can manage to do is laughing out loud
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]At this point all that I can manage do is laughing out loud
Magoli yote mawili ya ronaldo offside, kadi ya njano vidal kawini mpira vizuri. Sitashangaa kesho juve wakimaliza tisa uwanjani na bacelona akipata ushindi wa tano bila
 
Magoli yote mawili ya ronaldo offside, kadi ya njano vidal kawini mpira vizuri. Sitashangaa kesho juve wakimaliza tisa uwanjani na bacelona akipata ushindi wa tano bila
Hakuna kitu kama hicho wewe.
Mfa maji ...
 
Magoli yote mawili ya ronaldo offside, kadi ya njano vidal kawini mpira vizuri. Sitashangaa kesho juve wakimaliza tisa uwanjani na bacelona akipata ushindi wa tano bila
Kwa UEFA ngoma ndio ishaisha hiyo labda utasikia refa anapewa adhabu au kajionyo lakini ndio tayari....soccer la siku hizi sio la kutabiri.
 
Hahaha mbona hujani-quote kabla ya gemu.

Madrid bwana!! Hamusongi mbele mpaka mshikwe makali* Na refa.
Kabla ya gemu mnara wa 4G ulikuwa hausomi kabisa, nlipata shida kweli!
Ila kwa sasa mambo ni mubashara 4G inasoma fresh kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…