Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Mmhh... AiseeeVidal leo anapewa umeme!@#$/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh... AiseeeVidal leo anapewa umeme!@#$/
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bingwa mtetezi Real Madrid anaenda kuvuliwa ubingwa wake na Bayern Munich usiku wa leo pale dimbani Santiago Bernabeu.
Kurudi dimbani kwa Roberto Lewandowski ni dalili njema kuwa Bayern Munich ama " The Bavarians " watatakata na kuitoa mashindanoni Real Madrid ambayo katika siku za karibuni wamekuwa na fomu isiyokuwa nzuri kwa wachezaji wake wa mbele yaani BBC.
Kama ilivyo ada, Bingwa mtetezi hawezi kuchukua mara mbili hivyo leo ni siku nzuri kwa Real Madrid kufurumushwa nje ya mashindano.
Mechi ni saa 3:45 usiku
![]()
4GUmoja wa Ulozi(UwU)-Kigoma na Sumbawanga.
Tayari CR7 kashafanyiwa Mambo ya ajabu..kuona kwake goli itakuwa ni shida sana.. Bayern itachanja mbuga!!
View attachment 497899
Magoli yote mawili ya ronaldo offside, kadi ya njano vidal kawini mpira vizuri. Sitashangaa kesho juve wakimaliza tisa uwanjani na bacelona akipata ushindi wa tano bila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]At this point all that I can manage do is laughing out loud
Hahaha mbona hujani-quote kabla ya gemu.
Ni salama Mkuu.....Salama kiongozi
Hakuna kitu kama hicho wewe.Magoli yote mawili ya ronaldo offside, kadi ya njano vidal kawini mpira vizuri. Sitashangaa kesho juve wakimaliza tisa uwanjani na bacelona akipata ushindi wa tano bila
Kwa UEFA ngoma ndio ishaisha hiyo labda utasikia refa anapewa adhabu au kajionyo lakini ndio tayari....soccer la siku hizi sio la kutabiri.Magoli yote mawili ya ronaldo offside, kadi ya njano vidal kawini mpira vizuri. Sitashangaa kesho juve wakimaliza tisa uwanjani na bacelona akipata ushindi wa tano bila
Naona kaiangushaVidal mwanangu mpendwa Leo dunia utaisimamisha.
View attachment 497900
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Renzo unajidang'anya mpira
Sio bao
Ni salama Mkuu.....
Mbeleko imefanya kazi.
Kabla ya gemu mnara wa 4G ulikuwa hausomi kabisa, nlipata shida kweli!Hahaha mbona hujani-quote kabla ya gemu.
Madrid bwana!! Hamusongi mbele mpaka mshikwe makali* Na refa.
Wewe Madrid Sio Arsenal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vidal mwanangu mpendwa Leo dunia utaisimamisha.
View attachment 497900