Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Kabla ya gemu mnara wa 4G ulikuwa hausomi kabisa, nlipata shida kweli!
Ila kwa sasa mambo ni mubashara 4G inasoma fresh kabisa....
Baada ya gemu kuisha..
nimepenyezewa taarifa kwamba shabiki wa arsenal waliujaza uwanja wa Bernabeu.

Hehehe kesho nasubiri mbeleko nyingine.
 
Shshshshshsshshshshshs
Kelele mingi chumbani unaamsha majirani
 
Yule refa hachzeshi tena big match kadi ya pili ya vidal na goli la pili na Ronaldo hata kipofu aliona alivochemka
 
 
Nawaza cjui nani atakuwa kiungo mkabaji wa real pale kati kwny mechi ijayo ????!!!......
 
0 shots on goal 45 min ( vidal alikuwepo)


2 shots on goal 2nd half ( 1 la ramos)


0 shots on goal extra time


120 min


Displine ndio imewaweka mjini madrid only Casemiro amepewa yellow card [emoji28]
 
Magoli yote mawili ya ronaldo offside, kadi ya njano vidal kawini mpira vizuri. Sitashangaa kesho juve wakimaliza tisa uwanjani na bacelona akipata ushindi wa tano bila
Hata Ile penalty ingekua kapata Madrid ungesema ya kupewa. Poleni sana shabiki wa kale kaligi kalikobaki jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…