Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Mashabiki uchwara WA bashalona naona mnashambulia tu kwenye Uzi huu?? Mnashabikia bwana ENU aliyewagonga aggr. 7 bashite
 
5270ea7c521da827765f93eb10a7ef46.jpg



Open letter to bayern munchen
 
Nawatizama tu bajani mubichi mnavyobwabwaja.
 
Watu wanaroho ngumu, eti Madrid fomu yao imekuwa sio nzuri.Wakati ametoka kuwafunga kwenu tena Kipa ndye aliwabeba Buyern walikuwa wanakufa hata 5.

Leo hakuna nafasi ya buyern kumfunga madrid anakuja tu kukamilisha ratiba.

Hawa ndio madrid mabingwa wa kihistoria na mwaka huu wanaweka historia nyingine ya kuchukua ubingwa huu mara 2 mfululizo.
 
Mawazo yangu yananiambia hii game matokeo ya mwisho ni droo.
 
Lahm, Ribery, Robben, Alonso wote wazee hawana ubavu wa kushindana na kikosi kikali cha los blancos!!!
 
Lahm, Ribery, Robben, Alonso wote wazee hawana ubavu wa kushindana na kikosi kikali cha los blancos!!!
Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

BAYERN NICHINJIE WATUUUUUUUU
 
Back
Top Bottom