CONGRATS TO BOTH.
Real Madrid yupo kwenye wakati mgumu saaana.
Top of the group, bila wasiwasi.
Labda abadilike, asicheze kama majuzi. Yaani mnadroo na timu iliyopanda daraja. Ebo!
sijutii kuwa mpenzi na mkeleketwa wa La Liga kule ndo mpira upo
Barcelona
Atletico Madrid
Real madrid
Valencia
sevila
There you go.
Group la kufa kwa yeyote ni la kwetu hapa. Timu tatu zipo vizuri, Wagiriki (Olympiakos) wanaweza kuleta madhara kwa timu yeyote itakayosafiri hadi ugiriki kilelemama.

Messi ashabeba yake
Acha kukufuru, ungepangwa A au D ungesemaje?
'D' ndio la kifo kwa mtazamo wa wengi.