UEFA CHAMPIONS LEAGUE: The Road to Milan

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: The Road to Milan

Group la kufa kwa yeyote ni la kwetu hapa. Timu tatu zipo vizuri, Wagiriki (Olympiakos) wanaweza kuleta madhara kwa timu yeyote itakayosafiri hadi ugiriki kilelemama.

Arsenal tunashukuru kushiriki msimu huu tunaomba mjiandae vizuri mwakani.
 
hii droo ni nouma,

zlatan Anarudi malmo

di Maria anarudi Madrid

depay anarudi PSV

mourinho anarudi Porto.

tutaona nani atai adhibu timu yake ya zamani.
 
Grp A

PSG
Madrid
Donesky
Malmo

Grp B

PSV
Man Utd
CSK Moscow
Wolfsburg

Grp C

Benfica
A.Madrid
Galatasay
Astana

Grp D

Juventus
Man City
Sevilla
Borussia M

Group E

Barcelona
Leverkusen
Roma
Bate

Grp F

Bayern
Arsenal
Olimpyacos
Dinamo

Grp G

Chelsea
Porto
Kiev
Tel Aviv

Grp H

Zenit
Valencia
Lyon
Gent
 
hii droo ni nouma,

zlatan Anarudi malmo

di Maria anarudi Madrid

depay anarudi PSV

mourinho anarudi Porto.

tutaona nani atai adhibu timu yake ya zamani.

Kumbe? I never thought of that!
Can't wait!
 
Hehe who did this?
CNgG9NuUsAI0dxz.jpg:large
 
hii droo ni nouma,

zlatan Anarudi malmo

di Maria anarudi Madrid

depay anarudi PSV

mourinho anarudi Porto.

tutaona nani atai adhibu timu yake ya zamani.

Mkuu kuna mtu umemtaja hapo moyo wangu uka smile.
Hivi si ndio wew ulinichagulia???
Nimetokea kumkubal sana
 
Mkuu kuna mtu umemtaja hapo moyo wangu uka smile.
Hivi si ndio wew ulinichagulia???
Nimetokea kumkubal sana

Hahahahaaa, yah ni Mimi nakumbuka ilikua asubuhi siku flani hivi, wakati wa pre season, yuko vizuri Nina uhakika hata kuangusha, alafu bishoo huyo balaaa.
 
Hahahahaaa, yah ni Mimi nakumbuka ilikua asubuhi siku flani hivi, wakati wa pre season, yuko vizuri Nina uhakika hata kuangusha, alafu bishoo huyo balaaa.

Noma sana.. tangu ile siku namkubali hadi naugua.
Hope one day awe shem wako.
Asante kwa kuniunganishia hahahaaaa 1440942759202.jpg
Ila nyie ni marafiki si unaona?1440942903888.jpg
 
Mimi nawaonea huruma Man United, wakipangwa na timu moja toka German na moja toka Spain lazima safari iwadie. United ndio moja ya timu mbovu kabisa mwaka huu kati ya zote zinazocheza ucl.

Draw ni Leo saa 18:45 jioni

hahahahaaa. hivi na wewe ndio wakutucheka? au unajivunia mafanikio ya msimu uliopita? game ya pili hiyo unakalia, hahahahaaa wapi dzeko.
 
Back
Top Bottom