Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Group la kufa kwa yeyote ni la kwetu hapa. Timu tatu zipo vizuri, Wagiriki (Olympiakos) wanaweza kuleta madhara kwa timu yeyote itakayosafiri hadi ugiriki kilelemama.
defensive mechanism hiyo, kundi gumu ni la man city
Kama kawaida Spaaaaaaaaaaaaaain.
Arsenal tunashukuru kushiriki msimu huu tunaomba mjiandae vizuri mwakani.
hii droo ni nouma,
zlatan Anarudi malmo
di Maria anarudi Madrid
depay anarudi PSV
mourinho anarudi Porto.
tutaona nani atai adhibu timu yake ya zamani.
Mweeeeh!! Itabidi nianze kuangalia mpira aisee maana daaah!!
hii droo ni nouma,
zlatan Anarudi malmo
di Maria anarudi Madrid
depay anarudi PSV
mourinho anarudi Porto.
tutaona nani atai adhibu timu yake ya zamani.
Mkuu kuna mtu umemtaja hapo moyo wangu uka smile.
Hivi si ndio wew ulinichagulia???
Nimetokea kumkubal sana
Hahahahaaa, yah ni Mimi nakumbuka ilikua asubuhi siku flani hivi, wakati wa pre season, yuko vizuri Nina uhakika hata kuangusha, alafu bishoo huyo balaaa.


Mimi nawaonea huruma Man United, wakipangwa na timu moja toka German na moja toka Spain lazima safari iwadie. United ndio moja ya timu mbovu kabisa mwaka huu kati ya zote zinazocheza ucl.
Draw ni Leo saa 18:45 jioni