UEFA CHAMPIONS LEAGUE: The Road to Milan

Nina uhakika timu zote 5 za Spain msimu huu ya La liga zitaingia second round,Barcelona FC,Real Madrid,Atletico Madrid,Valencia na Sevilla,timu 5 kutoka miji 4 mikubwa nchini Spain yaani Madrid,Barcelona,Valencia na Sevilla respectively

Spanish era
 
Mkuu mi naona kwa Sevilla ni ngumu kupenya mbele ya Man city na Juve. Itaishia nafasi ya tatu na kwenda zake Europa kuchukua kombe.
 
Nina uhakika timu zote 5 za Spain msimu huu ya La liga zitaingia second round,Barcelona FC,Real Madrid,Atletico Madrid,Valencia na Sevilla,timu 5 kutoka miji 4 mikubwa nchini Spain yaani Madrid,Barcelona,Valencia na Sevilla respectively

hapo 3 ndo zina chance kubwa ya kupenya
 
Kama Kawa vilaza vya EPL vinachapwa tuu.

Vilaza waendelee kuoneana wao kwa wao tu kwenye League yao ya Rugby tu,
Wakitoa Pua nje ya England tu ni vichapo kama jana na juzi..
 
hapo 3 ndo zina chance kubwa ya kupenya
usijali Sevilla anapita kundi lake,maana Man City na Juventus zote zitafungwa zikija Ramon Sanchez Stadio jijini Sevilla,Valencia akiwa estadio Mestalla jijini Valencia nae leo nategemea anafanya mauaji makubwa kama waliofanya jana Real,Atletico na Sevilla,achilia mbali mabingwa watetetezi FC Barcelona ambao leo wapo jiji ambalo halikujengwa ka siku 1 yaani Roma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…