UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Utabiri wangu
FCB VS RLM
ATL VS DORTMUND
FCBYM VS MONACO
FCLC VD JUV
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BARCELONA ni kama maji usipoyanywa utayaoga
N arsenal hyo walaaaaa co barca

Hao barca hata nkiskia,wamepata
Msiba ndo kwanza nashangilia
 
  • Thanks
Reactions: PNC
N arsenal hyo walaaaaa co barca

Hao barca hata nkiskia,wamepata
Msiba ndo kwanza nashangilia
chuki uliyonayo kwa Barca ni kubwa saaana ngoja kombe letu
 
Sasa hapo tegemea really Madrid
Kukutana na barca
Hapana hapo possibility kubwa ni Atletico kukutana na moja wapo ya hao, UEFA ile ni biashara kwahiyo wangependa kuona timu kubwa nyingi zina pita!!!!! Lakini pia usitudharau Barca mkuu, tunaweza ifunga timu yeyote ile hakuna timu inaenda na matikeo uwanjani
 
chuki uliyonayo kwa Barca ni kubwa saaana ngoja kombe letu
Ha haa tena n kubwa kupta kias
Had mungu anajua

Mkibeba hlo kombe ntaamin
Mpira ulikua zaman co sasa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ha haa tena n kubwa kupta kias
Had mungu anajua

Mkibeba hlo kombe ntaamin
Mpira ulikua zaman co sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] hivi unavyodai Barca tunabebwa kwani marefa uwanjani hawapo?
 
Hapana hapo possibility kubwa ni Atletico kukutana na moja wapo ya hao, UEFA ile ni biashara kwahiyo wangependa kuona timu kubwa nyingi zina pita!!!!! Lakini pia usitudharau Barca mkuu, tunaweza ifunga timu yeyote ile hakuna timu inaenda na matikeo uwanjani
kwa mnavobebwa lazma tu
Tuwadharau

Hv unataka kunambia atl Madrid
N tim ndogo au
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] hivi unavyodai Barca tunabebwa kwani marefa uwanjani hawapo?
Mspobebwa na marefa mtabebwa na
Nan cku zote matokeo yakupangwa
Hupangwa na refa mkisha wachotea
Tu dollar kwan kuna saa watafwata
Sheria
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwa mnavobebwa lazma tu
Tuwadharau

Hv unataka kunambia atl Madrid
N tim ndogo au
Udogo kwangu na maanisha haina mashabiki kama Barca au Real, pia kwasababu umesema unaichukia Barca kwahiyo huwezi ku appriate wanacho kifanya na siku zote utasema wanabebwa tu!!!! Kumbuka Madrid zako zote kwa miaka 10 hii ya mwisho hazijachukua makombe kama Barca!!! Ungekiwa huichukii kwa kiasi ulicho sema ningekuamini unayo ongelea lkn kwa chuki ukiyo nayo huaminiki negative zako kuhusu barca
 
Mspobebwa na marefa mtabebwa na
Nan cku zote matokeo yakupangwa
Hupangwa na refa mkisha wachotea
Tu dollar kwan kuna saa watafwata
Sheria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulivyopigwa 4 na PSG hatujabebwa
 
droo yaweza kuwa hivi

Atletico vs barcelona/madrid
Madrid/barcelona vs monaco
Juve vs bayern
Leicester vs dortmund
 
i bet..

barca vs bayern

a/madrid vs monaco

r/madrid vs juventus

leista vs dortmund
 
Bayern Vs Barcelona/R.Madrid.

Hapa ndiyo patamu.
 
Back
Top Bottom