N arsenal hyo walaaaaa co barca[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BARCELONA ni kama maji usipoyanywa utayaoga
Kweli aiseeBarca mwisho wao ndo umefika, Leicester ndo mabingwa wapya.
Sasa hapo tegemea really MadridSpain ziko tatu mkuu
Hapana hapo possibility kubwa ni Atletico kukutana na moja wapo ya hao, UEFA ile ni biashara kwahiyo wangependa kuona timu kubwa nyingi zina pita!!!!! Lakini pia usitudharau Barca mkuu, tunaweza ifunga timu yeyote ile hakuna timu inaenda na matikeo uwanjaniSasa hapo tegemea really Madrid
Kukutana na barca
Ha haa tena n kubwa kupta kiaschuki uliyonayo kwa Barca ni kubwa saaana ngoja kombe letu
kwa mnavobebwa lazma tuHapana hapo possibility kubwa ni Atletico kukutana na moja wapo ya hao, UEFA ile ni biashara kwahiyo wangependa kuona timu kubwa nyingi zina pita!!!!! Lakini pia usitudharau Barca mkuu, tunaweza ifunga timu yeyote ile hakuna timu inaenda na matikeo uwanjani
Mspobebwa na marefa mtabebwa na[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] hivi unavyodai Barca tunabebwa kwani marefa uwanjani hawapo?
Udogo kwangu na maanisha haina mashabiki kama Barca au Real, pia kwasababu umesema unaichukia Barca kwahiyo huwezi ku appriate wanacho kifanya na siku zote utasema wanabebwa tu!!!! Kumbuka Madrid zako zote kwa miaka 10 hii ya mwisho hazijachukua makombe kama Barca!!! Ungekiwa huichukii kwa kiasi ulicho sema ningekuamini unayo ongelea lkn kwa chuki ukiyo nayo huaminiki negative zako kuhusu barcakwa mnavobebwa lazma tu
Tuwadharau
Hv unataka kunambia atl Madrid
N tim ndogo au