UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Ipo ivi wadau kwa atua ya robo fainali sheria inasema timu mbili kutoka nchi moja lazima zikutane ivyoo

Timu zinazotoka nchi moja haziwezi kupangwa kwenye hatua ya makundi pamoja na hatua za awali.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 7 zinamuhusu
Ha!
Shabiki wa barc Mnatembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo.
Ila Dybala Kadai anauchu na nyinyi lazima awatie adabu.
 
Reactions: PNC
Naona Atletico Madrid wakinyanyua ndoo! Watch this space.
 
Ha!
Shabiki wa barc Mnatembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo.
Ila Dybala Kadai anauchu na nyinyi lazima awatie adabu.
sikio liliponza kichwa huyo Dyabala atapotezwa ile mbaya au tutamwambia refa ampe red kama tulivyowapunguza kasi MATUIDI na DRAXER pale CAMP NOU kwa kadi za njano dakika 25 za mwanzo
 
Ukubali ukatae kubebwa barca
Mnabebwa sana ttz ukishakua
Shabik mnaz hakuna saa utaona
Ukibebwa cku zote ukiwa ndan ya biashara yako hata ukatwe shingo
Utakataa kuwa biashara yako
Haijaanguka kwa sababu unadanyanywa yaliyo ndan ila ukiwa nje ya hyo biashara ndo utakubali kwel unaamgusha biashara kwa uzembe


Haaa haa haaa at unasema atl Madrid
Haina mashabik wengi cjui hapa
Unamaanisha nn maana ukiacha hyo
Barca yenu na really tim inayofuata
Kwa ukubwa Spain n atl Madrid
Na inamashabik zaid ya unavosema
 
Sasa ndugu yangu wewe, ushasema baada ya Madreid na Barca ni Atletico, sasa unapingana nn na mm?
 
Timu zinazotoka nchi moja haziwezi kupangwa kwenye hatua ya makundi pamoja na hatua za awali.
Timu kutoka nchi moja zinaweza kukutana kutoka kwenye hatua ya robo fainainal ila kwenye makund haziwez kukutana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulivyopigwa 4 na PSG hatujabebwa
Haa haa haa pale mlikua
Mnajua 90% lazma mtashinda
Na ndo maana mlienda kwa
Kuamin lazma mshinde lakin
Mliona mlichofanywa na ule
Mpira unaweza kusema n game
Ilichezwa

Co hyo ya kwenu juz mlikua
Mnajua kabsa bla kupanga matokeo
Hamtapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…