Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo ivi wadau kwa atua ya robo fainali sheria inasema timu mbili kutoka nchi moja lazima zikutane ivyoo
Bado hadi saa 1500 leo hiiVp kuhusu Europa, guys
Sio lazima.Timu 2 za Spain lazima lazima zikutane
Atletico vs Real
Real vs Barcelona
Barcelona vs Atletico
Lazima
Umepatia kiduchu,UTABIRI WANGU
*Leicester vs Bayern Muchen
*Juventus vs Barcelona
*Real Madrid vs Atletico
*Monaco vs Dortmund
Leo hii hii dakika 7 kutoka sasa.Ya Europa lini
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Safari hii hakuna mbeleko lazima barca maji aite majwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 7 zinamuhusu
Ha![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 7 zinamuhusu
sikio liliponza kichwa huyo Dyabala atapotezwa ile mbaya au tutamwambia refa ampe red kama tulivyowapunguza kasi MATUIDI na DRAXER pale CAMP NOU kwa kadi za njano dakika 25 za mwanzoHa!
Shabiki wa barc Mnatembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo.
Ila Dybala Kadai anauchu na nyinyi lazima awatie adabu.
Ukubali ukatae kubebwa barcaUdogo kwangu na maanisha haina mashabiki kama Barca au Real, pia kwasababu umesema unaichukia Barca kwahiyo huwezi ku appriate wanacho kifanya na siku zote utasema wanabebwa tu!!!! Kumbuka Madrid zako zote kwa miaka 10 hii ya mwisho hazijachukua makombe kama Barca!!! Ungekiwa huichukii kwa kiasi ulicho sema ningekuamini unayo ongelea lkn kwa chuki ukiyo nayo huaminiki negative zako kuhusu barca
Kiwango cha kuzifumua timu za Spain.Hawezi chukua UEFA, kwa kiwango kipi hasa alichonacho?
HV kwann mnaichukia barca?Haunifikii mimi bhana naichukia sana
Sasa ndugu yangu wewe, ushasema baada ya Madreid na Barca ni Atletico, sasa unapingana nn na mm?Ukubali ukatae kubebwa barca
Mnabebwa sana ttz ukishakua
Shabik mnaz hakuna saa utaona
Ukibebwa cku zote ukiwa ndan ya biashara yako hata ukatwe shingo
Utakataa kuwa biashara yako
Haijaanguka kwa sababu unadanyanywa yaliyo ndan ila ukiwa nje ya hyo biashara ndo utakubali kwel unaamgusha biashara kwa uzembe
Haaa haa haaa at unasema atl Madrid
Haina mashabik wengi cjui hapa
Unamaanisha nn maana ukiacha hyo
Barca yenu na really tim inayofuata
Kwa ukubwa Spain n atl Madrid
Na inamashabik zaid ya unavosema
Timu kutoka nchi moja zinaweza kukutana kutoka kwenye hatua ya robo fainainal ila kwenye makund haziwez kukutanaTimu zinazotoka nchi moja haziwezi kupangwa kwenye hatua ya makundi pamoja na hatua za awali.
Haa haa haa pale mlikua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulivyopigwa 4 na PSG hatujabebwa