UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Borrusia Dortmund,Juventus,Bayern Munich Na Atletico Madrid Tukutane Semi Final Kwaherini Team Kubebwa A.K.A Kupakatwa.
 

TAARIFA MUHIMU...
Ndugu msomaji unaarifiwa kuwa itakapojiri tarehe 21/03 Ulimwengu wa Soka utakuwa kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de Assis Moreirra aliezaliwa katika viunga vya Port Alegre nchini Brazil...

Taarifa hii imetolewa na kusambazwa kwenu na msemaji wa AC Milan Afrika Mashariki ambae pia ni afisa habari wa mchezaji huyo barani Afrika Gang Chomba.

MOTO:
Some thing can't stay buried...
Bashite toa vyetiiiiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kote pumba ila hapo kwa bashite nimepapenda
 
Mkuu big up umepatia ila juve vs barca Madrid vs Bayern usijaribu kubet
 
Champions league semi final biggest win
( aggregate)
Bayern Munich 7:0 Barcelona



Spanish Super Cup biggest win
Athletico Bilbao 5:1 Barcelona


Champions league final biggest win
AC Milan 4:0 Barcelona



La liga Biggest win
Athletico Bilbao 12:1 Barcelona



Copa del rey biggest win
Real Madrid 11:1 Barcelona



2nd Biggest win in la liga

Sevilla 11:1 Barcelona



Chombadinho.wordpress.com
 
Hivi hii Anderlecht ilopangwa na man ni ya nchi gani
 
Naiona Leicester city ikienda mbali UEFA hivii!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…