Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BARCA TUTAFANYA MAUAJI
Wana hasira ya kukosa kombe!! Mtafanyiwa surprise hamtaamini!!Waleteeeeee waitali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu haya maneno ulitoa wap?Ipo ivi wadau kwa atua ya robo fainali sheria inasema timu mbili kutoka nchi moja lazima zikutane ivyoo
Leo ni draw ya kombe la UEFA Champions league na UEFA Europa league hatua ya robo fainali. Draw inafanyika mchana huu saa nane mchana (2:00pm)
Ratiba ya UEFA mechi zijazo ni kama ifuatavyo:
Quarter-finals: 11/12 + 18/19 April
1st leg
Tuesday (11 April)
Borrusia Dortmund - AS Monaco
Juventus FC - FC Barcelona
Wesdnesday (12 April)
Atletico de Madrid - Leicester City
FC Bayern Munchen - Real Madrid
2nd leg
Tuesday (18 April)
Leicester City - Atletico de Madrid
Real Madrid - FC Bayern Munchen
Wednesday (19 April)
AS Monaco - Borrusia Dortmund
FC Barcelona - Juventus FC
Semi-final draw: 21 April
Semi-finals: 2/3 + 9/10 May
Final: 3 June
Ratiba ya UEFA Europa league mechi zijazo ni kama ifuatavyo:
13 April: Quarter Final, 1st leg
20 April: Quarter Final, 2nd leg
21 April: Semi Final draw, Nyon
4 May: Semi Final, 1st leg
11 May: Semi Final, 2nd leg
24 May: Final
Draw ni kama ifuatavyo;
View attachment 482332
Huku dondoo zikionesha timu pendwa na UEFA au timu mlungula Real Madrid kubebwa kwa kupewa Leicester ambao ndio timu dhaifu kutokana na kufanya vibaya msimu huu.
Kuhusu Barcelona wao wanataka kupangiwa na timu mbili kati ya mahasimu zao R. Madrid au Bayern ili kulipiza kisasi kwa Arsenal ila la kusikitisha timu hizo zote hazitaki kukutana na FC Barcelona haswa R. Madrid
Na ile kauli ya Blatter kuwa kuna vimpira vyenye joto kwenye draw za UEFA naona inatimia tena
Tukitoka huko macho na masikio yote ya wapenda michezo Tanzania yapo kwa mchezaji wetu anayetuwakilisha vizuri nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta aliyeisaidia timu yake kuingia hatua ya robo fainali tukitaka kujua atapangiwa na timu gani maoni yangu ni heri akutane na Manchester United ili awaoneshe kuwa Tanzania tunaweza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kote pumba ila hapo kwa bashite nimepapendaTAARIFA MUHIMU...
Ndugu msomaji unaarifiwa kuwa itakapojiri tarehe 21/03 Ulimwengu wa Soka utakuwa kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de Assis Moreirra aliezaliwa katika viunga vya Port Alegre nchini Brazil...
Taarifa hii imetolewa na kusambazwa kwenu na msemaji wa AC Milan Afrika Mashariki ambae pia ni afisa habari wa mchezaji huyo barani Afrika Gang Chomba.
MOTO:
Some thing can't stay buried...
Bashite toa vyetiiiiii
Akina Samata out Celta Vigo cyo ya mchezo mchezoHapo kwa Celta Vigo kina samata wameingia choo cha kike
Huo ulazma unatokea wapTimu 2 za Spain lazima lazima zikutane
Atletico vs Real
Real vs Barcelona
Barcelona vs Atletico
Lazima
Najua unajua nakuwa against messi akicheza na Arsenal tukarata yako unampa nani??
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Na kunyakua kabisa,
Leicester city kaibeba Epl Mgongoni tehe tehe
BelgiumHivi hii Anderlecht ilopangwa na man ni ya nchi gani