Nawaheshimu Barcelona,niliwasifu sana walipooverturn matokeo dhidi ya PSG...BUT..
Hizi mechi mbili za quaterfinal dhidi ya MUITALIANO huyu anayeitwa Juve,nawashauri Barca watulize vichwa,this is probably the toughest games walizowahi kucheza recently,na wasahau kabisa ile final waliyompiga Juve,ile ni mechi moja,hizi ni mechi mbili nyumbani na ugenini,and i know the strength of Italian mentality kwenye hizi games za mtoano,especially at this stage,na pia status ya Juve kama underdog kwenye huu mtanange.
Juve ni wabaya sana wakiwa underdogs.
Kama Juve atashinda kwa goli moja mechi ya kwanza nyumbani,au Barca akashinda kwa goal difference ya 2 goals au zaidi pale Turin,then Barca atakuwa na nafasi nzuri kusonga mbele
Kama Juve atashinda goal difference ya 2,Barca atakuwa na wakati mgumu mechi ya pili,hawa sio wafaransa,these are italians.
Kama Barca atashinda kwa goli moja au kutoka suluhu au sare pale Turin,then Barcelona,with all due respect to this great team,ajiandae kucheza gemu ngumu ya maisha pale Camp Nou,na asipoangalia safari itaishia pale pale mbele ya mashabiki wake.
So the worst case kwa Barca ni kutoka sare mechi ya kwanza,ataenda kukimbizwa sana pale Camp Nou.