UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Hapana labda wengine,ila mimi mechi ya PSG niliwaambia watu kuwa Barca hajafa bado wasubiri second leg,wakabisha,kilichotokea ndio kile.
Sasa safari hii nawaambia Barca,msikubali sare yoyote Turin,ni heri hawa jamaa muwaachie goli moko kuliko kutoka nao sare,watakuja kuwauweni Camp Nou.Hao hawana haya hao,hata mshangilie kwa honi za treni uwanjani,wao wanafuataga game plan yao.
Njia pekee ya kummaliza Juve ni pale pale kwake,tena unapiga haswa,au kumuacha ashinde goli moko ili wakija Catalunya waje na yale mawazo yao ya kuficha makalio nyuma,huku mbele wewe unabikiri.
Kinyume na hapo,huyu bibi atafanya yake,ushawahi kuona bibi na bwana wanaingia chumbani ,wewe unajua jamaa anaenda kufaidi halafu unasikia makofi yanarindima humbani na sauti ya kidume inagugumia maumivu kila baada ya mlio wa kofi ha haa.
Nasikia milio ya bakora za bibi huku babu akigugumia maumivu ha ha haa.
 
Mkuu,cards pekee mliyo nayo Barca ni mbili tu,either kushinda Turin kwa goal difference at least 2 au Juve kushinda goli moja mechi ya kwanza.
Tofauti na hapo mtakuwa na tough game Camp Nou.
Usifikiri zile goli za PSG utazitengeneza kirahisi mbele ya Bonuci,Sandro,Benatia,Chiellini,Evra,etc,tena wakiwa well informed kuwa inahitaji kitu cha ziada kukushinda wewe na itakuwa honour kwao,which means utacheza nao wakiwa "die hard".
PNC 1 umeelewa sasa?
 
mkuu BARCELONA ni bingwa mpya UEFA na nilichojifunza kule Turin hata kama tukifungwa 4 ila iwe 4:1 au 3:1 au 5:2 ili wakija CAMP NOU tunawasambaratisha
Vipi mkuu
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom