Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Usikalili mzee,Kama Madrid katoka Kwenye mashindano haya bac man cty bingwaa,
Ila km Madrid yupo man cty n msindikizaji .kombe linamwenyewe hlo ...
Najua unachokumbukaNikiona 7-0 napatwa na mshtuko
Saba nyingi nyie, ziskie kwa jiraniNajua unachokumbuka
Acha utan basi.. Kwan siku Ile hakuwapiga man u?Siku linahitajika goli moja la muhimuuuuu,Halaand haonekani. Ndio tatizo. Siku mpinzani akijichanganya,anapiga nyingi.
Eti Man City bingwa!!!!Mchezaji wa Manchester City Erling Halaand atupia magori matano ⚽ kwenye hatua ya 16 Bora UEFA.
View attachment 2551798
Manchester city 7 -0 Rb Leipzg. Manchester City mabingwa wa UEFA 2022/2023🥇🏆save hii.
Ilikuwa Man u mbovuAcha utan basi.. Kwan siku Ile hakuwapiga man u?
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Man 7 😁😁😁Nikiona 7-0 napatwa na mshtuko
Ni kweri anaujua udhaifu wao uko wapiHaaland toka yupo Dortmund alikuwa anawaonea Leipzig.
Ndio timu aliyoipiga goli nyingi pale bundesliga.
Ili uwe uefa champions inabid timu yako iwe na team workMan City tufanyeje ili tubebe UEFA?